Intro.
back in bizness
yeeeeaahh
The return of big boooss
classmaaaaaate, ilalaa
Verse 1;
Mi life style lyk movie, mwingi ka uduvi
navyo rhyme quality kama mtoto wa juzi,
cheki akina suzy, beki zishaluzzy,
Gucci bikini, in ma jakuzi
Shampagne sheddzoon tryna maintain,
watoto ndo husema chain zitaexplain
welcome home again huku dairly kuna rain,
am so hood so high lyk plane
Bado ma mc mnadiss tena kwa kujikusanya
after me, hakuna anaemuweza chiku kwa kuchana,
story zenu zile zile, style pia zile zile
sera zenu mi mgomvi, nia yenu mi nisile
Hata radio zinahama makazi ubora ukipanda
bado tu mmeganda na uzee wa propaganda
wengi hamna hata vibanda but cheki mnavyotamba
now magari mnayonunua mnatamani yawe kitanda.
Chorus;
sema wala sijali, bado nitapita
kasi yangu huwezi kuishika
popmpompooo pisha,
chichichichi…. *2
Verse 2;
mmepanic mnaniwinda ila siwindiki,
sio rahisi nalindwa na nguvu za mashabiki
nalindwa na duaa za mama yangu alienizaa
ananilinda ananiombea kabla sijakuwa star
Nina luv kwa kitaa kokote nakaa,
ukinitaja iwe kwa zuri au ubaya mi ntang’aa
nabado mtaniskia buster rhymes wa Tanzania
king kong chidi beenz la familia aminia
Luv kwa wanangu mlioko jela mnachapika,
BIG ngilimaa subiri siku tu itafika,
hata Mandela alikaa mwishoni wakamwachia,
kwetu ni historian a ni kama step ya kupitia,
wote sawa, nani mwenye akili kuliko wote
nani kamuumba binadam dunia na vitu vyote,
sina nguvu ka obama ila nna macho natizama,
wanaficha ndo maana hawapendi nikilalama.
Chorus;
Verse 3;
This is 4 tha hood shit getoz, u n ya fellow,
wakongwe hawaendi na muda n wabishi mpaka kero,
mengi mnayoongea hayafanani nkitokea
mnashindana nikiwashinda mnasema nawaonea.
Kila siku magazetini mbaya mimi mbaya mimi
siku ya mwisho Tanzania inanituku tuzo mimi
still niko hood la familia ilala,
African soulja black skin inayong’ara.
Zali halina mentari mentari ndo ana zali,
Mungu mkubwa kanipa mimi nashkuru sikosi ugali,
kuandika mistari mimi, kazi jukwaani mimi
watoto rafiki yao mimi na wewe shabiki wangu mimi
Kipi kinachokufanya mpaka mwenzangu nanikana
chako mchoyo vipi cha kwangu tunagombana,
dirty off my shoulda, amri sio orda
waoooga cheki mnalewa tu kwa soda.